Ijumaa, 27 Mei 2016

NOAH LINAPOHARIBIKIA NJIANI NA GARI HALINA MEKANIKA!

Moja ya gari la Noah ambalo linafanya safari zake kutoka Utete kwenda Ikwiriri likiwa limeharibika. Dereva ambaye amevaa kaptulua na baadhi ya abiria wanajaribu kuangalia tatizo la gari. Hizi ni baadhi ya adha wanazopata abiria wa magari ya Noah yanayofanya safari zake sehemu mbalimbali hapa nchini.

SUMATRA MNAZIONA NOAH HIZI AMBAZO HAZINA TLB!

Magari ya Noah yakiwa yanasubiri abiria katika kituo cha Ikwiriri. Magari haya mengi hayana leseni ya Sumatra na yanafanya biashara kinyume cha sheria.

KARAHA YA ABIRIA WA NOAH

Noah inayotoka Utete kwenda Ikwiriri ikiwa imesimama njiani watu wachimbe dawa. Hivi ndivyo ilivyokuwa imepakia abiria. Kwenye begi ni abiria mwingine aliyeshuka kwa ajili ya kuchimba dawa.

NOAH ZINAVYOBEBESHWA MZIGO


Alhamisi, 26 Mei 2016

UMAAFURU WA NOAH WILAYANI RUFIJI

Gari aina ya Noah ambalo linafanya safari zake kutoka Ikwiriri kwenda Muhoro likiwa limepakia mizigo na abiria. Je Gari hili linastahili kubeba mzigo wa namna hii?

1