Ijumaa, 27 Mei 2016

NOAH LINAPOHARIBIKIA NJIANI NA GARI HALINA MEKANIKA!

Moja ya gari la Noah ambalo linafanya safari zake kutoka Utete kwenda Ikwiriri likiwa limeharibika. Dereva ambaye amevaa kaptulua na baadhi ya abiria wanajaribu kuangalia tatizo la gari. Hizi ni baadhi ya adha wanazopata abiria wa magari ya Noah yanayofanya safari zake sehemu mbalimbali hapa nchini.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni