Jumanne, 5 Julai 2016

Picha mbalimbali zikionyesha ajali ya mabasi ya kampuni ya City Boyz iliyotokea katika Kijiji cha Maweni kilichopo Tarafa ya Kintinku wilayani Manyoni mkoa wa Singida jana na kusababisha vifo vya watu 24 na wengine zaidi kujeruhiwa. (picha kwa msaada wa mtandao)


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni